in

Diamond’s Mother Sandra Bashes Husband For Siring Child With Sidechick

Diamond Platnumz’s mother Sandra Kasim is displeased with her much younger lover Rally Jones.

Rumours are rife that Jones sired a child with another woman who has been identified only as Sharifa.

Mama Dangote as she is popularly known in a phone interview that has gone viral on the interwebs notes that she is not worried about her husband’s philandering ways.

She further clarified that is the legal wife and other after her, “fake.”

Mama Dangote also lashed out at Jones indicating that he is free to sire more children should he deem it fit.

Here is an excerpt from the interview:

Interviewer: Ulisikia habari za mwanamke aliyezaa naye?

Sandra: Simjui aliyezaa hata kama kazaa sio mke, mimi ni mke najulikana kote. Kama anataka azae tu, hakatazwi mtu kuzaa halafu mimi sio tasa, watoto ninao na tena wanajulikana dunia nzima. Wanalinufaisha jiji, sasa mimi mtoto wake atanishughulisha nini? Ndio kwanza mchanga kama kazaliwa. Hanibabaishi chochote hata kama ni mwanamke ako naye hanibabaishi. Hana mbele wala nyuma mimi sio muuza uchi. Mimi nakaa kwangu na nina familia na ninajiheshimu na nina kila kitu. Kama alichepuka akaenda kuzaa azae tu.

Interviewer: Na mahaba yenu moto moto?

Sandra: Kama yote.

Interviewer: Safi sana safi sana… Dr Sandra…

Sandra: Ndio mimi mke hali wa ndoa akitokea mwingine feki.

Interviewer: Kumbe mlishafunga ndoa mama?

Sandra: Kama unapajua kwangu uje nikuonyeshe cheti cha ndoa.

Interviewer: Asante mama nakupenda.

Sandra: Umemaliza au unalingine unataka nikupe?

Interviewer: Nimemaliza mama, asante.

Sandra: Haya wajue wanangu masupasta wanalitikisa jiji.

The allegations had also been made earlier on in the day by Zari Hassan’s sworn enemy and Tanzania socialite Mange Kimambi.

 

View this post on Instagram

 

Bi Sandra acha kujitia una roho ya chuma, mume kuzaa nje inaumaaaa mpaka unaweza hisi roho inatoka tena ukizingatia hela zenyewe anazokwenda kuhonga ni za kwako mwenyewe uwiiii unaweza pasuka kwa hasira. Acha kujitia gangwe hakuna mwanamke duniani anaweza stahimili mumewe kuzaa nje. Akicheat tu unatamani kuuwa mtu sasa imagine amezaa kabisaaa kibaby, uwiiii. . . Jamani Uncle Shamte umenifurahishaaaa nna zawadi yako. Unajua nilikuwaga nakuona boya flani hivi nikahisi hiko kimama kinakupigaga makonzi kumbe bwana wewe ndo unaemnyoosha? Yani umemkomesha kwa kweli 🤣😂… Tatizo Bi Sandra yuko busy na mademu wa mwanae mpaka mumewe anazalisha vibinti. . . Ila malipo ni humu humu insta. Yani huyu mama yote anayowafanyia wakwe zake na yeye anafanyiwa na mumewe🤣.Dadreki mpaka kaletewa mtoto ndani ya ndoa. Ila hili Li-Uncle huwa nilizuli jamani 😊 simlaumu huyo dada aliezaaa nae. . . @maimartha ukitaka kutufurahisha kamuhoji na mke mwenzie. Kama hapewi child support aseme tusaidie kumpigie kelele hadi uncle na Bi Sandra watoe child support 🤣🤣🤣😂😂. Yani Mai ukimuhoji na mke mwenzie tunakusamehe ushambenga wako wote wa huko nyuma. . . Uwiii kwa hiyo huyo mtoto si atakuwa step brother wa Dai? Uwiiii afunguliwe page ya insta mtoto atakuwa star kama familia ya step mom wake. 🤣😂😂 na huyo mama mzaa chema hana Account insta tum follow? Amejua kutukomeshea bibi kisebengo, nyambaf alikuwa anajitia ye doctor sasa kakutana na daktari bingwa wa magonjwa sugu 🤣 jamani binti ahsante umejua kutupa raha.

A post shared by Mange Kimambi (@mangekimambi_) on

Email your news TIPS to news@kahawatungu.com or WhatsApp +254708677607. You can also find us on Telegram through www.t.me/kahawatungu

Written by Eva Nyambura

Content creator at Kahawatungu.com | Passionate about telling the untold story. Lover of life, music and technology. Simplicity is KEY

Email: news@kahawatungu.com

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Alabama Legalises Chemical Castration Against Pedophiles

CHARLES EDOA

Gor Mahia Allegedly Sign Ex-Leopards Striker Charles Edoa